Uswisi

  • Zermatt

Context of UswisiUswisi ni nchi ya Ulaya isiyo na pwani katika bahari yoyote.

Imepakana na Ujerumani, Ufaransa, Italia, Austria na Liechtenstein.

Jina rasmi ni Confoederatio Helvetica (kwa Kilatini: Shirikisho la Kiswisi).

Majimbo yake 26, ambayo huitwa "kantoni", yanajitawala.Uswisi ni nchi ya Ulaya isiyo na pwani katika bahari yoyote.

Imepakana na Ujerumani, Ufaransa, Italia, Austria na Liechtenstein.

Jina rasmi ni Confoederatio Helvetica (kwa Kilatini: Shirikisho la Kiswisi).

Majimbo yake 26, ambayo huitwa "kantoni", yanajitawala.

Map

Videos