Uajemi

  • Jashak salt dome

Context of UajemiIran - ايران, pia Uajemi (kutokana na Kiarabu العجم- al-'ajam) ni nchi ya Asia ya Magharibi.

Jina rasmi ya nchi ni Jamhuri ya Kiislamu ya Iran au Uajemi. Uajemi imejulikana tangu kale kama nchi iliyochangia mengi katika historia ya binadamu.

Imepakana na Afghanistan, Armenia, Azerbaijan, Iraq, Pakistan, Uturuki na Turkmenistan.

Upande wa kusini kuna mwambao wa Ghuba ya Uajemi (Bahari Hindi) na upande wa kaskazini ni mwambao wa Bahari ya Kaspi.

Tehran ni mji mkuu, pia mji mkubwa nchini.Iran - ايران, pia Uajemi (kutokana na Kiarabu العجم- al-'ajam) ni nchi ya Asia ya Magharibi.

Jina rasmi ya nchi ni Jamhuri ya Kiislamu ya Iran au Uajemi. Uajemi imejulikana tangu kale kama nchi iliyochangia mengi katika historia ya binadamu.

Imepakana na Afghanistan, Armenia, Azerbaijan, Iraq, Pakistan, Uturuki na Turkmenistan.

Upande wa kusini kuna mwambao wa Ghuba ya Uajemi (Bahari Hindi) na upande wa kaskazini ni mwambao wa Bahari ya Kaspi.

Tehran ni mji mkuu, pia mji mkubwa nchini.

Map

Videos