Iceland

  • Vatnajökull
  • Vík í Mýrdal

Context of Iceland

Isilandi (pia: Aisilandi; maana kwa Kiiceland: "Nchi ya barafu") ni nchi ya Ulaya kwenye kisiwa cha Bahari ya Atlantiki ya kaskazini. Iko km 300 kutoka Greenland upande wa magharibi na km 1,000 kutoka Norwei upande wa mashariki.

Eneo lake ni km² 103,000 lakini idadi ya watu ni laki tatu pekee.

Ingawa Iceland si sehemu ya rasi ya Skandinavia, inahesabiwa kati ya nchi za Skandinavia.

Map

Videos