Skip to main content
Holamon.cat
Toggle navigation
Main navigation
Map of the world!
Destinations
Map
Alphabetical
Calendar
Add
Glossary
User account menu
Log in
Kiswahili
Toggle Dropdown
Kiswahili
English
Català
Español
Français
Italiano
Deutsch
日本語
简体中文
العربية
Русский
فارسی
Português, Portugal
हिन्दी
Türkçe
اردو
Nederlands
Svenska
Tiếng Việt
Dansk
Íslenska
Suomi
Polski
Українська
ئۇيغۇرچە
Euskera
Occitan
Esperanto
བོད་སྐད་
Kurdî
Ελληνικά
עברית
Română
한국어
монгол
Magyar
Galego
Afrikaans
Shqip
አማርኛ
Հայերեն
Azərbaycanca
Беларуская
ภาษาไทย
Cymraeg
മലയാളം
Bahasa Indonesia
Български
తెలుగు
தமிழ்
Slovenščina
Slovenčina
සිංහල
ਪੰਜਾਬੀ
नेपाली
मराठी
Malagasy
ພາສາລາວ
Кыргызча
ភាសាខ្មែរ
Қазақ
ಕನ್ನಡ
Basa Java
বাংলা
Bosanski
ဗမာစကား
Čeština
Eesti
Filipino
ქართული ენა
ગુજરાતી
Latviešu
Lietuvių
Kreyòl ayisyen
Norsk, nynorsk
Hrvatski
தமிழ், இலங்கை
Тыва дыл
Српски
Asturianu
རྫོང་ཁ
Føroyskt
Frysk
Gaeilge
Македонски
Gàidhlig
Scots
Sámi
Norsk, bokmål
Aymara
Destinations
Zones by Title
Zones by Title
Afghanistan
Afghanistan ( افغانستان, pia: Afuganistani) ni nchi ya bara la Asia. Inapakana na nchi za Pakistan, Uajemi, Turkmenistan, Usbekistan, Tajikistan na
Afrika
Afrika ni bara la pili duniani kwa ukubwa, likiwa na eneo la kilometa za mraba zipatazo 30,370,000 na kwa idadi ya wakazi, hao wakiwa 1,225,080,510
Afrika Kusini
Afrika Kusini ni nchi kubwa ya Afrika ya Kusini yenye wakazi takriban milioni 54. Imepakana na Namibia, Botswana, Zimbabwe, Msumbiji na Uswazi. Nchi
Alaska
Alaska ni kati ya majimbo ya kujitawala ya Marekani. Iko kaskazini kabisa kwenye bara la Amerika ya Kaskazini. Alaska ni eneo la pekee haina mipaka na
Shqipëria
(
Albania
)
Jamhuri ya Albania ni nchi ya Ulaya Kusini Mashariki. Imepakana na Montenegro, Kosovo, Masedonia Kaskazini na Ugiriki. Upande wa magharibi kuna pwani
الجزائر
(
Algeria
)
Algeria (pia: Aljeria; kwa Kiarabu: الجزائر al-Jazā’ir; kwa Kiberber: Dzayer, ⴷⵣⴰⵢⴻⵔ; kwa jina rasmi "Jamhuri ya kidemokrasia ya watu wa Algeria") ni
L'Alguer
(
Alghero
)
Alghero ni mji wa mkoa wa Sardegna, Italia visiwani wenye wakazi 43,845 (mwaka 2019).
Alpi
Alpi (kwa Kijerumani: Alpen; kwa Kifaransa: Alpes; kwa Kiitalia: Alpi; kwa Kislovenia: Alpe) ni safu ya milima kunjamano katika Ulaya inayotenganisha
Amish
Amsterdam
Amsterdam ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Uholanzi. Inajulikana kama mji wa mifereji mingi wenye wakazi 800,000, vyuo vikuu viwili na uwanja wa ndege wa
Andalucía
(
Andalusia
)
Andalusia (kwa Kihispania: Andalucía) ni jimbo la kujitawala (Kihisp.: comunidade autónoma) la Hispania katika kusini ya rasi ya Iberia. Mji mkuu ni
Andorra
Utemi wa Andorra (Kikatalani: Principat d'Andorra, Kifaransa: Principauté d'Andorre) ni nchi ndogo katika Ulaya ya kusini magharibi. Katiba yake ni ya
Angola
Angola ni nchi kubwa iliyopo upande wa kusini magharibi wa bara la Afrika ikipakana na Namibia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Zambia. Upande wa
Ankara
Ankara ni mji mkuu wa Uturuki. Iko katika kitovu cha Anatolia kwenye kimo cha 938 m juu ya UB. Huu ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Ankara. Ankara ni mji
Antigua na Barbuda
Antigua na Barbuda ni nchi ya visiwani ya Amerika kwenye bahari ya Karibi. Ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Madola. Inaundwa na visiwa viwili vya
Apache
Aragon
Aragon ni jimbo la kujitawala (kwa Kihispania: comunidade autónoma) la Hispania, upande wa kaskazini mashariki.
Argentina
Argentina ni nchi kubwa ya pili ya Amerika Kusini. Ina eneo la km² 2,780,400 kati ya milima ya Andes upande wa magharibi na Bahari ya Atlantiki upande
Հայաստան
(
Armenia
)
Armenia (kwa Kiarmenia: Հայաստան Hayastan au Հայք Hayq) ni nchi ya mpakani kati ya Ulaya na Asia katika milima ya Kaukasi iliyoko kati ya Bahari
Arpitania
Principáu d'Asturies
(
Asturias
)
Asturias ni jimbo la kujitawala (kwa Kihispania: comunidade autónoma) la Hispania, upande wa kaskazini magharibi.
Athens
Athens (pia: Athene, Athini, kwa Kigiriki Αθήνα "Athina") ni mji mkuu wa Ugiriki (Uyunani), mji mkubwa wa nchi hiyo, na mojawapo kati ya miji
Australia
Australia ni bara pia ni nchi huru ya Oceania. Ikiwa na eneo la km² 7.692.024 ni bara dogo kuliko yote duniani, na ni kisiwa kikubwa kuliko vyote
Österreich
(
Austria
)
Austria (kwa Kijerumani: Österreich) ni nchi ya Ulaya ya Kati. Imepakana na Ujerumani, Ucheki, Slovakia, Hungaria, Slovenia, Italia, Uswisi na
Aymaranaka
(
Aymara people
)
Azərbaycan
(
Azerbaijan
)
Azerbaijan (pia: Azabajani, Azebajani) ni nchi ya Kaukazi kati ya Ulaya na Asia. Imepakana na bahari ya Kaspi, Urusi, Georgia, Uturuki, Armenia na
Bali
Baluchistan
Baluchistan, Balochistan au Baluchestan (بلوچستان) ni eneo linalokaliwa na Wabaluchi. Imegawiwa kati ya Pakistan, Iran na Afghanistan. Hapa kuna
Bangkok
Bangkok ni mji mkuu na pia mji mkubwa wa Uthai katika Asia Kusini-Magharibi. Kuna wakazi milioni saba walioandikishwa lakini imekadiriwa ya kwamba
বাংলাদেশ
(
Bangladesh
)
Bangladesh (pia: Bangla Desh; kwa Kibengali: বাংলাদেশ, bāṃlādeś) ni nchi ya Asia ya Kusini. Imepakana na Uhindi pande zote barani isipokuwa mpaka
شبه الجزيرة العربية
(
Bara Arabu
)
Bara Arabu ni ile sehemu ya dunia iliyoko baina ya Bara la Afrika na Bara la Asia ambayo sehemu kubwa yake imezungukwa na bahari, upande wa magharibi
Barcelona
Barcelona ni mji uliopo nchini Hispania. Ni mji mkuu wa jimbo la Catalonia, ambayo ni sehemu tajiri zaidi ya Hispania. Barcelona ipo katika pwani ya
Euskal Autonomia Erkidegoa
(
Basque Country (autonomous community)
)
Beijing
Beijing (pia: Peking) ni mji mkuu wa China. Iko kaskazini-mashariki mwa nchi. Rundiko la jiji lina wakazi wapitao milioni 15. Tangu karne sita imekuwa
Беларусь
(
Belarus
)
Belarus (kwa Kibelarus: Беларусь (Kikyrili) au Biełaruś (Kilatini); kwa Kirusi:Белоруссия ) ni nchi ya Ulaya ya Mashariki inayopakana na Urusi
Benin
Jamhuri ya Benin ni nchi huru katika Afrika ya Magharibi. Awali iliitwa Dahomey. Inapakana na Bahari ya Atlantiki upande wa Kusini, nchi ya Togo
Load More