Tallinn

Tallinn ni mji mkuu na pia mji mkubwa wa Estonia mwenye wakazi 410,000. Iko mwambaoni wa Ghuba ya Ufini ya Baltiki na bandari yake ni bandari kuu ya nchi.

Tallinn inajulikana kwa mji wa kale ulioingizwa na UNESCO kastika orodha la urithi wa dunia.

Historia yake ni ya karne nyingi. Kwa Zama za Kati ilikuwa mji mwanachama wa shirikisho la Hanse ijatajirika kutukana na biashara kati ya Urusi, Skandinavia na Ujerumani.

Tangu 1918 Tallinn imekuwa mji mkuu wa Estonia huria.

1940 mji pamoja na nchi yote vilivamiwa na jeshi la Kisovyeti ikawa mji mkuu wa Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kiestonia hadi 1991 halafu tena mji mkuu wa Estonia huria.

Picha na:
Zones
Statistics: Position (field_position)
2169
Statistics: Rank (field_order)
43903

Ongeza maoni mapya

Esta pregunta es para comprobar si usted es un visitante humano y prevenir envíos de spam automatizado.

Usalama
267481395Bofya/gonga mfuatano huu: 4219

Google street view

Unaweza kulala wapi karibu Tallinn ?

Booking.com
455.045 ziara kwa jumla, 9.077 Pointi za kupendeza, 403 Marudio, 40 ziara leo.