Msikiti wa Malindi, Zanzibar
Msikiti wa Malindi (pia: Msikiti wa Mnara) ni msikiti uliopo ndani ya Mji Mkongwe, Zanzibar, Tanzania; upo karibu na bandari. Ni mmoja kati ya misikiti kongwe ndani ya Zanzibar, mpaka karne ya 15. Malindi ni jina la sehemu ya Mji Mkongwe.
Ongeza maoni mapya