قم

( Ghom )

Ghom (pia Qom, Qum au Kum, kwa Kifarsi قم) ni makao makuu ya mkoa wa Ghom nchini Iran yenye wakazi 1,292,000. Unahesabiwa kuwa moja ya miji mitakatifu ya Washia.

Iko takriban kilomita 130 upande wa kusini wa Tehran kwenye njia ya kuelekea Isfahan.

Msingi wa umuhimu wa kidini ni kaburi la Fatima Masumeh, aliyekuwa binti wa imamu wa saba wa Washia na dada wa Imam Reza anayeheshimiwa kama imamu wa nane wa Washia.

Leo hii Ghom ni mashuhuri hasa kama kitovu cha elimu ya Kishia; tangu karne ya 19 seminari za kusomesha ulama zilipanuliwa na leo hii ni mahali ambako ulama wengi wa Iran wanasoma.

Picha na:
Zones
Statistics: Position (field_position)
1449
Statistics: Rank (field_order)
74533

Ongeza maoni mapya

Esta pregunta es para comprobar si usted es un visitante humano y prevenir envíos de spam automatizado.

Usalama
385714926Bofya/gonga mfuatano huu: 3572

Google street view

Unaweza kulala wapi karibu Ghom ?

Booking.com
445.993 ziara kwa jumla, 9.074 Pointi za kupendeza, 403 Marudio, 219 ziara leo.