Dolomiti
Dolomiti ni safu ya milima iliyo sehemu ya Alpi.
Milima hiyo inapatikana Italia Kaskazini katika wilaya za Belluno, Trento na Bolzano/Bozen.
Ni maarufu kwa madini yake lakini hasa kwa uzuri wake unaovutia watalii wengi.
Mnamo Agosti 2009, UNESCO iliitangaza kuwa urithi wa dunia.
Picha na:
Daniele Bonaldo - CC BY-SA 4.0
Zones
Statistics: Position (field_position)
1157
Statistics: Rank (field_order)
160449
Ongeza maoni mapya